Dira na Dhima
Dira:-
Kuwa kituo bora katika kutoa huduma za usimamizi wa Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa.
Dhima:-
Kusimamia Kumbukumbu na kuhifadhi Nyaraka kwa matumizi ya Serikali na Umma kupitia miongozo, taratibu, viwango na upatikanaji wake ili kuongeza maamuzi yenye uwazi na uwajibikaji.