Idara ya Huduma za Nyaraka
Inashughulika na uhifadhi wa Nyaraka ambazo ni urithi andishi wa Taifa letu, kuelimisha umma juu ya umuhimu wake na kuuwezesha umma ndani na nje ya nchi kutumia Nyaraka hizi kwa tafiti mbalimbali. Pia Idara ina jukumu la kukarabati Nyaraka na kuziweka katika mifumo ya kidijitali ili ziweze kudumu kwa muda mrefu na kurahisisha upatikanaji wake kwa watumiaji;