Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akifafanua jambo wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kiliholenga kuwasilisha taarifa za Muundo, Mgawanyo wa Majukumu, Sheria na Sera zinazosimamiwa na ofisi hiyo jijini Dodoma.