Habari
Ziara ya Mhe. Sylvester J. Kainda, Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania Idarani
Mhe. Sylvester J. Kainda, Msajili wa Mahakama ya Rufani Tanzania afanya ziara kujionea maendeleo ya kazi ya kudurufu (scanning) nyaraka za kesi mbalimbali za Mahakama ya Rufani kwa lengo la kujionea utekelezaji wa kazi hiyo inayofanywa na watumishi wa Ofisi yake na wataalamu wa Idara, Makao Makuu Dodoma, tarehe 21Machi, 2023. Mahakama ya Rufani inadurufu nyaraka hizo kwa ajili ya uendeshaji wa Mashauri mbalimbali kidigitali katika utoaji haki kwa wakati Nchini