Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wapatiwa mafunzo


Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firimin Msiangi akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto juu ya namna mfumo wa Ofisi mtandao unavyofanya kazi sambamba na maboresho yake. Kulia kwake ni Afisa TEHAMA Mkuu, Bw. Dismas Mbando aliyeambatana naye..