Habari
Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wapatiwa mafunzo
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firimin Msiangi akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Menejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto juu ya namna mfumo wa Ofisi mtandao unavyofanya kazi sambamba na maboresho yake. Kulia kwakwe ni Afisa TEHAMA Mkuu, Bw. Dismas Mbando aliyeambatana naye.