Mnakaribishwa kwenye Tovuti ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa. Kumbukumbu na... Soma zaidi
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Makao makuu Dodoma, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi 2024.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Makao makuu Dodoma, wakiwa katika maandamano ya Maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamuhuri jijini Dodoma.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Rais-Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Osifi ya Kanda ya mashariki (Dar es Salaam) wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa maadhi,isho ya sikukuu ya wafanyakazi 2024
Kikao maalum kilichoongozwa na Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere, akiwa na viongozi wa Serikali zote mbili, Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar mwaka 1985 Dar es Salaam