Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Ziara ya Mafunzo kwa Maafisa kutoka Serikali ya Botswana


Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Rais Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin M.Msiangi akitoa maelezo ya kiufundi kwa Maafisa kutoka Serikali ya Botswana kuhusu Mashine za kudurufu nyaraka wakati wa  ziara ya mafunzo Makao Makuu Dodoma.