Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Ziara ya Kikazi ya Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar


Bw. Sigfrid Ngowi, Afisa Tehama Mwandamizi kutoka Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa akiwasilisha mada juu ya utunzaji wa nyaraka kupitia TEHAMA kwa Wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakati wa ziara ya kikazi ya Kamati hiyo katika Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.