Habari
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akipata maelezo ya utunzaji wa Nyaraka kutoka kwa Ally Litongolele wakati wa ziara yake ya
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akipata maelezo ya utunzaji wa Nyaraka kutoka kwa Ally Litongolele wakati wa ziara yake ya kikazi ya kuhimiza uwajibikaji kwa watumishi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dar es Salaam.