Habari
Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wapatiwa mafunzo
Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wakiongozwa na Mhe. Jaji Dkt Paul F. Kihwelo, Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mkuu wa Chuo wakifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firimin Msiangi wakati wa kikao kazi cha kuhitimisha zoezi la kusimika na mafunzo ya mfumo wa ofisi mtandao Chuoni hapo.