Tanzania emblem

Ofisi ya Rais

Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa

Building photo

Habari

Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wapatiwa mafunzo


Wajumbe wa Manejimenti ya Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto wakiongozwa na Mhe. Jaji Dkt Paul F. Kihwelo, Jaji wa Mahakama ya Rufani na Mkuu wa Chuo  wakifuatilia maelezo ya Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firimin Msiangi wakati wa kikao kazi cha kuhitimisha zoezi la kusimika na mafunzo ya mfumo wa ofisi mtandao Chuoni hapo.