Habari
Ziara ya Waziri wa Nchi Katika Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kumbu Kumbu Kanda ya Ziwa Mwanza. Tarehe 08 Desemba, 2019
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. Kapt. (Mst) George H. Mkuchika ,Akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa Bw. Firmin Msiangi pamoja na watumishi wengine wa Idara Baada ya kujionea ukamilishaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Idara cha Kanda ya Ziwa Mwanza . Mhe. Amefanya Ziara HiyoTarehe 08 Desemba, 2019