Habari
Ziara ya Mh. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb)
Kaimu Mkurugenzi, Ofisi ya Rais - Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Tifa, Bw. Firimin M. Msiangi akimueleza Mhe. Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. MaryMwanjelwa (Mb), namna nyaraka na machapisho mbalimbali yanavyowekwa katika hali ya ubora ili kuweza kudumu kwa muda mrefu ambapo shughuli hizo hufanyika katika Kitengo cha Ufundi alipotembelea Idara tarehe 23/08/2019.