Habari
Naibu Waziri,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi alipotembelea kituo cha Taifa cha Kumbukumbu
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deogratius Ndejembi akipata maelezo kutoka kwa Bw. Salum A. Kyando (Mkurugenzi wa Idara ya Kuwaenzi Waasisi wa Taifa) juu ya shughuli zinazotekelezwa na Ofisi ya Rais Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa,alipotembelea Kituo cha Taifa cha Kumbukumbu Dodoma.