Habari
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin Msiangi akiwa ni mmojawapo wa washiriki kwenye mkutano mkuu wa 10
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa, Bw Firimin Msiangi akiwa ni mmojawapo wa washiriki kwenye mkutano mkuu wa 10 wa Chama cha Kitaaluma cha Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) kilichofanyika, Arusha mwezi November 2022