Habari
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisoma Nyaraka muhimu za mwaka 1919 ya Idara ya Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akisoma Nyaraka muhimu za mwaka 1919 ya Idara ya Mahakama wakati wa Utawala wa Mwingereza alipotembelea makao makuu ya Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa