Habari
Mafunzo Kazi ya kuwajengea uwezo kuhusu matumizi sahihi na salama ya Kumbukumbu na Nyaraka Serikalini Watumishi wa VETA
Mkurugenzi wa Idara ya Kumbukumbu Bw. Athanas Kolokota akitoa mafunzo kwa Timu ya Menejimenti ya VETA (hawapo pichani) kwa lengo la kuwajengea uwezo kuhusu matumizi sahihi na salama ya Kumbukumbu na Nyaraka Serikalini.